Skip to main content
Skip to main content

Miradi ya zaidi ya shilingi bilioni 1.4 imekwama Nyamira huku shule 68 hazijakalimishwa

  • | Citizen TV
    174 views
    Duration: 3:29
    Wabunge kutoka kaunti ya nyamira wamelalamikia utendakazi duni na kujikokota kwa wanakandarasi katika utekelezaji wa miradi ya zaidi ya shilingi bilioni 1.4 katika shule 68 za kaunti hiyo.wabunge hao wanasikitika kuwa miradi hiyo inayofadhiliwa na serikali ya kuwait haijakamilishwa, hali ambayo inaendelea kuathiri shughuli za masomo.