- 1,453 viewsDuration: 3:06Vifo vya wanawake wanapojifungua vimeendelea kuripotiwa licha ya mikakati iliywekwa na mashirika mbalimbali na serikali za kaunti. wanawake elfu moja na mia tano wanaripotiwa kufariki kati ya januari 24 na Oktoba mwaka wa 2025 katika kaunti 25 humu nchini kutokana na kuvuja damu zaidi wakati wa kujifungua.