Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu, Garisa wanataka wakalimani vituoni vya polisi

  • | Citizen TV
    660 views
    Duration: 2:04
    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu kutoka kaunti ya Garissa, wamelalamikia ukosefu wa mkalimani katika vituo vya polisi, wakisema inakuwa vigumu kutafsiri taarifa za waathiriwa wa dhulma vya kijinsia, haswa kwa walemavu.