11 Feb 2026 1:44 pm | Citizen TV 279 views Duration: 2:16 Jamii ya Endrois inayoishi katika Kaunti ya Baringo imepongeza uamuzi wa Mahakama ya Nakuru wa kufutilia mbali agizo la serikali kuhusu ardhi yao ilioyoko eneo la Arabel, Baringo Kusini.