Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa kaunti ya Lamu washinikiza bandari ya Lamu kujisimamia yenyewe

  • | Citizen TV
    469 views
    Duration: 2:27
    Wakaazi wa kaunti ya Lamu wameshinikiza haja bandari ya Lamu kujisimamia yenyewe na biashara kuimarishwa ili waweze kufaidika kwa kupata kazi na mapato. Wanalalamika kuwa bandari ya Lamu kusimamiwa chini ya bandari ya Mombasa kunawanyima nafasi wakazi w aLamu kufaidika na bandari hiyo.