- 9,801 viewsDuration: 8:56Mwanasayansi alibobea kwenye Mishipa ya fahamu, Jimo Borjigin kutoka Chuo Kikuu cha Michigan, amejitolea muda wake mwingi kwenye kuchunguza kinachotokea katika ubongo wa binadamu tunapokaribia kufa. Uvumbuzi wa hivi karibuni upo kinyume na matarajio yote ya awali yaliyohusishwa juu ya kifo cha binadamu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw