- 22,606 viewsDuration: 28:10Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amekutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya Marekani. Netanyahu anatarajiwa kumshawishi Trump kuendeleza makubaliano yatakayositisha uboreshaji wa uranium nchini Iran, na pia kudhibiti hatua yake ya kuunga mkono makundi ya wapiganaji kama Hamas na Hezbollah. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw