- 3,981 viewsDuration: 39sChama cha Orange Democratic Movement (ODM) nchini Kenya kimemfukuza Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kama Katibu Mkuu wa chama hicho. Uamuzi wa kumuondoa Sifuna ulifikiwa wakati wa mkutano wa Kamati Kuu ya Kitaifa ya Chama uliofanyika Mombasa Jumatano. Chama hicho kilisema kimeazimia kumwondolea Sifuna majukumu yake mara moja. Catherine Omanyo ambaye ni mmoja wa Naibu Katibu Mkuu, atahudumu katika nafasi hii hadi mtu anayeshikilia wadhifa huo achaguliwe #tiktokkenya #bbcswahili #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw