Skip to main content
Skip to main content

Ushahidi wa kesi ya Lissu kuanza kusikilizwa

  • | BBC Swahili
    9,971 views
    Duration: 3:58
    Kesi ya uhaini imayomkabili mwenyekiti wa chama cha upinzani Tanzania Chadema Tundu lissu imeahirishwa hadi kesho Alhamis 12/02 baada ya mahakama kuu ya Tanzania kuridhia pingamizi moja kati ya matano yaliyokuwa yamewekwa na kiongozi huyo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw