Kamati ya afya ya bunge la seneti imetilia shaka hadhi ya hospitali ya Thika level 5

  • | K24 Video
    62 views

    Kamati ya afya ya bunge la seneti imetilia shaka hadhi ya hospitali ya Thika level 5, ikizingatiwa kuwa haitoi baadhi ya huduma muhimu zinazoambatana na na daraja hilo. hospitali hiyo haina suhula za kutosha wala wataalam wa afya.