China: Maonyesho ya kimataifa ya anga 2022 yajikita katika ndege za kivita

  • | VOA Swahili
    664 views
    Maonyesho ya kimataifa ya China ya anga na anga za juu zaidi ambayo hujulikana kama Air Show China 2022 yalifunguliwa Jumanne huko mjini Zhuhai, ambayo yatadumu hadi Novemba 13. Tukio hilo limeanza kwa maonyesho ya jeshi la ukombozi la China. Sikiliza taarifa hiyo pamoja na mengine yaliyojiri duniani katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.