Skip to main content
Skip to main content

Ghana yatangaza Jumatano kuwa 'Siku ya kuvaa Fugu'

  • | BBC Swahili
    22,111 views
    Duration: 2:09
    Ghana imetenga kila Jumatano kama siku ya kuvaa vazi la kitamaduni la nchi hiyo, fugu. Hii inakuja ikiwa ni siku chache baada ya kuzua mjadala mtandaoni na Wazambia. Vazi hilo lilipata umaarufu wiki iliyopita baada ya Rais John Dramani Mahama kuvaa katika ziara ya kitaifa nchini Zambia na gumzo mtandaoni. @ahmedbahajjofficial anatuelezea kwa kina #bbcswahili #ghana #Zambia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw