Skip to main content
Skip to main content

Mafunzo ya Usalama barabarani yafanywa Makueni

  • | Citizen TV
    334 views
    Duration: 2:02
    Zaidi ya wahudumu wa boda boda 200 katika eneo bunge la Mbooni kaunti ya Makueni wamepata mafunzo ya usalama barabarani na kisha kupokezwa leseni za kuendesha pikipiki. Mpango huo umefanyika ili kujaribu kupunguza ajali za mara kwa mara ambazo zinasababishwa na wahudumu w abodaboda.