- 4,594 viewsDuration: 1:40Viongozi wanaoegemea upende wa Kenya Kwanza kutoka eneo la Ukambani wamemsuta vikali kinara wa cha ODM Raila Odinga kufuatia mapendekezo ya kutaka hazina ya CDF,NGAAF na ile ya maseneta kuondolewa wakidai mapendekezo hayo yanalenga kuangamiza maendeleo yanayoletwa na hazina hizo