21 Aug 2025 1:33 pm | Citizen TV 261 views Duration: 2:13 Kaunti ya Nandi imeanzisha mchakato wa kuimarisha chanjo kwa watoto kaunti hiyo. Hii ni kufuatia ripoti kuwa baadhi ya watoto hawapelekwi kliniki na wazazi wao kupokea chanjo.