21 Aug 2025 1:32 pm | Citizen TV 1,082 views Duration: 2:04 Wadi ya Shella katika eneo bunge la Malindi inaongoza kwa idadi kubwa ya watoto wanaougua ukambi kutokana na wao kukosa kupewa chanjo.