- 2,687 viewsDuration: 3:43Rais William Ruto amesema mpaka wa Kenya na Somalia utafunguliwa mwezi Aprili mwaka huu kufuatia kuimarishwa kwa usalama katika eneo la kaskazini mashariki. Akizungumza katika halfa ya mradi wa NYOTA kutoka kaunti za Mandera na Wajir, rais Ruto pia amewashutumu baadhi ya viongozi wa upinzani kwa madai ya kuhusika na wizi wa vyakula vya msaada kwa waathiriwa wa janga la njaa walipokuwa mamlakani.