21 Aug 2025 1:31 pm | Citizen TV 608 views Duration: 3:03 Gavana wa Mombasa Abulswamad Sharif Nassir amekiri kwamba uhaba wa maji umekuwa kero kwa wakazi. Hii ni baada ya wakazi kulalamikia ukosefu wa bidhaa hiyo muhimu