- 2,099 viewsDuration: 7:41Presenter Kai na mke wake Diana Yegon ni miongoni mwa wanandoa wanaotengeneza maudhui wanaotambulika sana nchini Kenya, wakiwa na wafuasi wengi mitandaoni wanaovutiwa na hadithi yao ya mapenzi na uwazi wao kuhusu maisha ya kila siku. Walizungumza BBC kuhusu safari yao ya mafanikio. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw