21 Aug 2025 1:29 pm | Citizen TV 685 views Duration: 3:02 Wafanyibiashara kadhaa katika soko la Nyamache huko Bobasi kaunti ya Kisii wanaishi kwa hofu kutokana na kuongezeka kwa uhalifu. Genge la vijana lilinaswa kwenye kanda ya cctv likiiba katika duka moja la viatu eneo hilo.