21 Aug 2025 1:28 pm | Citizen TV 418 views Duration: 2:11 Mamlaka ya kusimamia shughuli za utalii (TRA) imeanzisha msako wa wanaoendeleza shughuli haramu za utalii katika lango la Sekenani, kwenye mbuga ya wanyama ya Maasai Mara.