21 Aug 2025 1:21 pm | Citizen TV 1,223 views Duration: 3:04 Kamati ya seneti kuhusu uwekezaji inahoji Gavana wa Mandera Mohamed Adan Khalif kuhusiana na ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali ya mwaka wa 2023/2024.