21 Aug 2025 1:17 pm | Citizen TV 1,848 views Duration: 1:45 Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula amekanusha madai ya Rais kuwa wabunge na haswa wanakamati wa kamati mbalimbali za bunge wanaitisha rushwa ili kuputisha miswada au kuwaondolea lawama viongozi.