21 Aug 2025 1:10 pm | Citizen TV 673 views Duration: 2:41 Wakazi wa eneo la Marigat, Chemolingot na Loruk wanaishi kwa hofu ya kuvamiwa na viboko na mamba baada ya maji ya ziwa baringo kujaa kupita kiasi na kumiminika barabarani.