- 1,086 viewsDuration: 33sKiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, Tundu Lissu, akiwasili mahakama kuu ya dar es Salaam Tanzania kwa mwendeleo wa kesi inayomkabili ya uhaini. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw