Ali Kiba afichua kile kinachoweza kumpandisha hadhi mwanamuziki

  • | VOA Swahili
    1,808 views
    Ali Kiba, mwanamuziki wa Tanzania ambaye ni mashuhuri Afrika Mashariki na duniani, aeleza kile ambacho kila mtu ametunukiwa katika fani yake na moja analoeleza ni hiba kila mtu aliyopewa na Mungu katika kutekeleza majukumu yake ikiwemo kulinda viwango vya utekelezaji majukumu aliyonayo. Endelea kumsikiliza... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.