Viongozi wa sehemu mbalimbali kuanzisha kampeni ya chanjo ya Covid-19

  • | Citizen TV
    246 views

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali katika kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na wahudumu wa afya wameanzisha kampeni ya kuzunguka katika masoko na mikusanyiko yote ya umma kwenye kaunti hiyo, Kwa shughuli ya kuwarai wenyeji kupokea chanjo ya ugonjwa wa Korona