Wadau wa elimu Nandi wanatoa maoni kuhusu mtaala wa elimu

  • | Citizen TV
    275 views

    Washikadau wa elimu katika kaunti ya Nandi sasa wanapendekeza sekondari ya daraja la chini isalie katika shule za misingi.Wakizungumza mbele ya jopokazi lilobuniwa kutathmini masuala ya elimu nchini likiwemo lile la mtaala mpya wa CBC katika shule ya upili ya wasicha ya Kapsabet, wadau hao walitaja gharama ya juu ya elimu, ukosefu wa ufahamu wa mtaala mpya , hali duni ya miundo msingi na mfumo wa kutathmini wanafunzi kuwa baadhi ya changamoto ambazo wangependa ziangaziwe ili kuboresha viwango vya elimu nchini