Wadau wa elimu watoa maoni kuhusu mfumo wa elimu

  • | Citizen TV
    1,405 views

    Jopokazi la kupiga msasa mfumo wa elimu nchini liko katika kaunti ya nakuru hii leo kupokea maoni ya wadau mbalimbali. baadhi ya masuala yanayojitokeza ni kuwa wanafunzi wa CBC wanaofuzu gredi ya sita wasalie kwenye shule za msingi badala ya sekondari