Baadhi ya wakazi wa Subugia wasambaza chakula Baringo

  • | Citizen TV
    567 views

    Huku wakenya zaidi ya millioni 4.5 wakikabiliwa na baa la njaa kote nchini, baadi ya wakazi wa sSubukia kaunti ya Nakuru wameanza msururu ya kuwapa chakula waathiriwa katika kaunti ya Baringo. Wakiongozwa na wakfu wa Kingori Ngurukie, wanasema kuwa baadhi ya maeneo nchini kama vile Subukia yana chakula cha kutosha. Maeneo ya Loruk, Baringo Kaskazini Mogotio na Tiaty yameathirika zaidi na baa la njaa kwa kukosa mvua kwa muda mrefu