Ukaguzi wa uchaguzi

  • | Citizen TV
    1,122 views

    Mashirika yaliyokagua uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa Agosti 9 yameipongeza tume ya IEBC, vyombo vya habari na maafisa wa usalama kwa kufanya kazi nzuri. Hata hivyo yameikosoa IEBC kwa kutojiandaa vyema kwa uchaguzi huo. Wadau hao walikuwa wakizungumza hapa Nairobi kwenye mkutano ulioandaliwa na kituo cha demokrasia ya vyama vingi