21 Aug 2025 10:23 am | Citizen TV 309 views Duration: 2:35 Siku moja baada wizara ya Elimu kusema imetuma shilingi bilioni 9.46 kupiga jeki masomo ya zaidi ya wanafunzi laki tatu wa vyuo vikuu nchini, baadhi ya wanafunzi sasa wanasema wangali kupokea fedha hizo hadi sasa