21 Aug 2025 10:19 am | Citizen TV 450 views Duration: 1:13 Mkuu wa mawaziri Musalia mudavadi amesema kuwa serikali inafanya kila iwezalo kuwashirikisha wakimbizi katika kambi za Dadaab na Kakuma katika jamii zinazoishi eneo hilo