Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Karatina, Nyeri, wafanya maandamano kulalamikia visa vya ubakaji na mauaji

  • | Citizen TV
    877 views
    Duration: 3:13
    Viongozi, wanaharakati na wakazi wa kaunti ya Nyeri wamefanya maandamano ya amani kulalamikia kuongezeka kwa visa vya ubakaji na mauaji ya watoto katika kaunti hiyo. Wakiwa wamebeba mabango walitembea kilomita 15 hadi nyumbani kwa Shantel Waruguru mtoto wa miaka saba aliyepatikana ameuawa wiki jana.