Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi awatahadharisha wanyakuzi wa ardhi katika eneo bunge lake

  • | K24 Video
    3 views

    Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi amewatahadharisha wanyakuzi wa ardhi katika eneo bunge lake kuwa watakabiliwa kisheria. huko kisii, wamiliki wa maeneo ya burudani wamelalamikia kunyanyaswa na serikali ya kaunti hiyo kwa kuwanyang'anya leseni za biashara zao.