- 3,483 viewsDuration: 7:02Shughuli za usafiri zimetatitizika kwa siku nzima leo Jumatatu katika viwanja vya ndege nchini Kenya kutokana na mgomo wa wahudumu wa ndege. Mzozo huo unahusu masuala kadhaa, ikiwemo kutokamilishwa kwa mazungumzo ya kuafikiana (CBA), malalamishi ya mishahara na vile vile kandarasi za muda mfupi kwa wafanyakazi wengi. #Kenya #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw