NCCK yatishia kuelekea mahakamani kupinga mapendekezo ya kubadilisha muhula wa kuhudumu kama Rais

  • | West TV
    39 views
    Muungano wa Makanisa nchini NCCK umemkashifu vikali Bbunge wa Fafi Salah Yakub kwa mchakato wake wa kutaka kuondoa muda wa hudumu wa Rais,ukitishia kuekelea mahakamani kusitisha mswada huo iwapo utawasilishwa bunge. Kauli yao inajiri hisia kinzani zikitolewa na viongozi mbalimbali kuhusiana swala hilo.