Ukosefu wa usalama Baringo | Rais Ruto asema oparesheni ya usalama yaendelea

  • | KBC Video
    62 views

    Rais William Ruto amesema kuwa serikali yake itakabiliana vilivyo na majangili ambao wanavuruga hali ya usalama katika kaunti ya Baringo. Akiongea wakati wa ibada ya kutoa shukrani katika uwanja wa maonyesho ya kilimo wa Kabarnet, kiongozi wa taifa alisema kuwa oparesheni inayoendelea ya usalama haitasitishwa hadi hali ya kawaida irejee katika eneo hilo. Aliwaagiza wote wanaomiliki bunduki kinyume cha sheria kuzisalimisha kwa polisi la sivyo wakabiliwe vikali kisheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #usalama #News #williamruto