Skip to main content
Skip to main content

Kwaresima: Kwa nini kipindi hiki 'takatifu' ni cha kipekee kwa Wakristo?

  • | BBC Swahili
    13,063 views
    Duration: 1:40
    Kwaresima ni mojawapo ya kipindi muhimu cha mfungo takatifu wa waumini wa Kikristo. Kwa Kanisa la katoliki wao huanza mfungo wao siku ya Jumatano maarufu kama 'Jumatano ya Mjivu' Agness Penda anaelezea umuhimu wa kipindi hiki kwa Wakristo #bbcswahili #kwaresima #fyp Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw