Ifahamu China : Wanasayansi nchini China watumia teknolojia mpya kuhifadhi nyani walio hatarini

  • | KBC Video
    12 views

    Wanasayansi nchini China wameweza kufanya sensa ya ufanisi zaidi na ya uhakika ya Nyani wa dhahabu, spishi ya wanyamapori iliyo hatarini nchini China, kwa kutumia teknolojia ya juu ikiwemo utambuzi wa sura na kipiga picha cha joto la mwili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #IfahamuChina #WorldCupIkoKBC