Wakenya wahimizwa kupimwa mapema kama njia ya kupunguza vifo vya saratani.

  • | KBC Video
    10 views

    ataalamu wa magonjwa ya saratani wamekariri umuhimu wa kupimwa mapema kama njia moja ya kupunguza vifo vinavyosababishwa na magonjwa hayo. Wanasema kutokana na kutopimwa mapema, magonjwa hayo hugunduliwa kuchelewa na hivyo kutatiza juhudi za matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News