- 7,367 viewsDuration: 55sWafanyibiashara katika soko la Githurai Market walifunga barabara jana jioni kulalamikia ubomoaji wa vibanda vyao vilivyoko kando ya barabara. Mamlaka ya barabara kuu nchini imebomoa vibanda hivyo vilivyoko kando ya barabara ili kupisha upanuzi wa barabara. Hata hivyo, wafanyibiashara hao wanaddai kuw ani njama ya kuwaondoa ili shughuli za ujenzi wa kibinafsi zifanyike .Takriban wafanyibiashara 1,600 wameathirika na ubomozi huo ambao baadaye ulifanyika usiku.