Skip to main content
Skip to main content

Meli inayobeba watalii zaidi ya 700 imetua bandarini Mombasa

  • | Citizen TV
    2,065 views
    Duration: 2:04
    Meli ya watalii imetua bandarini Mombasa ikiwa imewabeba zaidi ya watalii 700. Wadau katika sekta ya utalii wamesema ujio wa meli hiyo unaashiria mwamko mpya katika sekta hiyo. Watalii hao wanatazamiwa kuzuru vivutio kadhaa Mombasa, kwale na Taita Taveta kwa siku sita kabla ya kuondoka. Bodi ya utalii nchini imesema inalenga kuongeza idadi ya meli za watalii zitakazotua nchini ili kuafikia malengo ya kuwakaribisha watalii milioni tano kwa mwaka ifikiapo mwaka 2027.