Skip to main content
Skip to main content

Serikali imetoa shilingi milioni 700 kwa upanuzi wa hospitali ya Kilgoris level 4

  • | Citizen TV
    251 views
    Duration: 1:55
    Serikali Kuu imetangaza kutoa shilingi milioni 700 kwa upanuzi wa hospitali ya Kilgoris level 4 huku wanasiasa wakihimizwa kuzika tofauti zao ili kufanikisha utoaji wa hatimiliki ya ardhi ya ekari 30-50 kwa shughuli hiyo. Akizungumza katika mkutano na maafisa wa ngazi za juu kutoka serikali zote baada ya kuzuru hospitali hiyo Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu alisisitiza kuwa serikali yake itaipa sekta ya afya kipaumbele ili kuhakikisha wakazi wanapewa huduma wanazohitaji. Mbunge wa Kilgoris Julius Ole Sunkuli alipongeza hatua ya kupanua hospitali hiyo akisema Itawafaa wakazi..