- 3,151 viewsDuration: 1:27Timu ya Taifa ya Nigeria bado wanamatumani ya Kucheza mechi za mchujo za kufuzu Kombe la dunia baada ya kukata Rufaa Dhidi ya wachezaji wa Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo. Shirikisho la Soka Dunia FIFA bado halijatoa maamuzi Dhidi ya Rufaa Hiyo, michezo ya mchujo inayofahamika Kama ((inter-confederation play-offs) itafanyika mwezi ujao kuanzia tarehe 26 mpaka tarehe 31 na Congo wataanza kwa kucheza na mshindi wa Mchezo kati ya Maledonia na Jamaica Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw