- 63,345 viewsJeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limepambana vikali na waasi wa M23 katika mji wa Kibumba ulioko kilomita 20 kaskazini wa mji wa Goma. Mapigano hayo yanaendelea kwa siku ya pili, huku jeshi la DRC likisema limefanikiwa kuwarudisha nyuma waasi wa M23 waliokuwa na lengo la kuuteka mji wa Kibumba ambao ni mji mkuu wa Kivu Kaskazini unaopakana na Rwanda. Sikiliza repoti kamili kutoka kwa mwandishi wetu akieleza hali ya wananchi na hatua serikali inayochukua ... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Vijana DRC waanza kupewa mafunzo ya kivita kupambana na waasi
- 6 Jul 2025 - Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
- 6 Jul 2025 - Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
- 6 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
- 6 Jul 2025 - The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
- 6 Jul 2025 - Opposition leaders slam Ruto over state house church plans
- 6 Jul 2025 - Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted
- 6 Jul 2025 - Joho leads Coast MPs in Ruto campaign
- 6 Jul 2025 - Mr President you risk bringing idolatry in church, State House
- 6 Jul 2025 - Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction
- 6 Jul 2025 - 35 years later, Saba Saba continues: Meeting of different generations, same script