Wageni watakiwa kuchukua tahadhari Malawi kufuatia mlipuko wa kipindupindu

  • | VOA Swahili
    206 views
    Afisa wa afya Wilaya ya Salima nchini Malawi amewataka watalii wanaotembelea nchi hiyo kuchukua tahadhari kutokana na kuongezeka kwa ugonjwa wa kipindupindu. Amesema kuna watu 764 walioambukizwa na 24 kufariki. Hadi sasa watu waliofariki kutokana na kipindupindu wamefikia 214. Endelea kupata maelezo zaidi kutoka kwa mwandishi wetu kuhusu hatua zaidi zinazochukuliwa na serikali ya nchi hiyo... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.