China na Marekani zaeleza matumaini ya kushirikiana

  • | VOA Swahili
    2,367 views
    Rais wa Marekani Joe Biden na mwenzake Rais wa China Xi Jinping wameeleza matumaini ya kushirikiana na nchi hizi mbili zinaweza kukabiliana na kuongezeka kwa tofauti kati yao. Mapambano kati ya kundi la waasi wa M23 na jeshi la DRC yanaendelea nchini DRC kuelekea mji wa Goma huku wananchi wakiomba kurejeshwa amani - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.