19 Feb 2026 1:08 pm | Citizen TV 136 views Duration: 1:38 Tukisalia kwenye uchaguzi wa viongozi wa mawakili, huko Mombasa, idadi ndogo ya mawakili ndio waliojitokeza kwa zoezi hilo la upigaji kura linaloendelea kote nchini