- 828 viewsDuration: 1:32Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro anasisitiza kuimarishwa kwa uwajibikaji wa kifedha huku akizidi kutia doa mpango wa serikali wa kubinafsisha kampuni ya Kenya Pipeline na kuuza asimilia 15 ya hisa zake za kampuni ya safaricom. kwenye kongamano la 34 la kiuchumi lililofanyika jijini Nairobi, Nyoro ameitaka serikali kueleza ukweli kuhusu uuzaji w akampuni za umma na kuhakikisha kuwa pesa zinazopatikana zinatumiwa kwa manufaa ya wananchi.